PreGE2025 Godbless Lema acha mara moja kuingilia uhuru wa Vyombo vya Habari, huo udikteta uchwara uishie CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sammy swali langu Leo ni mkutano wa 6 au 7 sijaona gazeti likiandika hizi habari za no reform No election kwenye front page
Si kila habari iandikwe front page isitoshe usiwapangie Cha kuhabarisha huo ni UDIKTETA tunaoupinga
 

Media badala ya kuripoti habari mna jikita kufanya uchawa hakuna free media yeyote ni unafiki na uongo uongo. Watu 50 kati ya million 8 leo mpasuko😂
 
Dalili ya watu kushikwa pabaya ni jinsi wana vyoshindwa kujibu hoja zao...matusi na kejeli ndio majibu...mpaka lema amekua anaropoka kama mdude!
Yote sawa tu. Watu wenu wamefeli kabla hawajaanza walichokusudia.

No reforms No Election.
 
Media badala ya kuripoti habari mna jikita kufanya uchawa hakuna free media yeyote ni unafiki na uongo uongo. Watu 50 kati ya million 8 leo mpasuko😂
Ajabu kabisa... Mpasuko watu wapo field?
 
Wauza sembe na siasa wapi na wapi?
 
Lema kaishiwa cha kusema,hakutegemea kukutana na vizingiti baada ya kumsaliti mangi mwenzake.Hii ni ishara kwamba hawakutegemea kukuta na magumu wanayokutana nayo
 
Lisu na Lema madikteta uchwara
Chadema ya sasa imeikamata ccm pabaya ,milio kila kona , sukari zinashuka na kupanda dadeki, huu mwaka mtamu sana , shida ccm kumepwaya watu wakujibu mapigo kwenye majukwaa hakuna ,

Mzee wasira hoi
Makalla hoi ,
Katibu mkuu hoi ,

Kwa kuwasaidia ccm, Mrudishe Bashiru na Polele, ila sasa nao hoja watatoa wapi , shida inaanzia uchaguzi wa Serikali za Mtaa mwaka jana ambaya imetibua vidonda vya chaguzi zilizopita
 
Wao Chadema na Godbless Lema demokrasia ni kuisema vibaya CCM na kuisemea mazuri Chadema. Yeyote yule anaisema vibaya Chadema basi kanunuliwa. Hii ni tabia waliyokuwa nayo madikteta duniani kuwa ukimkosoa tu eti umetumwa! Ahahahahaha!
 
Shida hao nyumbu wabafikiri umma unawasapoti, km ndivyo mbn maandamano yao hakuna aliyetokea zaidi ya Mbowe na familia yake? Hao ni nyumbu hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…