kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mganga wake mkali!Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamii
---
Kwa ajili ya ustawi wa chama changu na uimara wake ktk kujenga misingi bora na muhimu haswa ktk kipindi hiki tunachoelekea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi Mkuu 2025, sitagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda kwa mara hii ktk uchaguzi unaokuja.
Kwa sasa nitafanya wajibu wangu muhimu wa ujenzi wa chama ktk kipindi kilichobaki.
