Pre GE2025 Godbless Lema ajitoa kwenye mbio za kugombea Uenyekiti Kanda ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mganga wake mkali!
 
uungwaba ni vitendo,
pesa za wafadhili wa ng"ambo zimekuja wakati muafaka, sambamba na uchaguzi wa kanda. kupanga ni kuchagua....

Lema amachagua vizuri, na hasa kwakuzingatia mazingira ya siasa yalivyo magumu kwa upande wake, na kuporomoka kwa ushawishi wake kwa vijana maeneo mbalimbali nchini...

ni muhimu kijifunza kutosheka, kuridhika na kujiasess kwamba huna jipya tena, na utoe nafasi kwa nawazo mapya kuleta mabadiliko mapya....

binafsi nampongeza kwa uuamizi wake wa kingwana na kishujaa sana kisiasa, na namtakia kila lililojema katika wajibu na changanoto nyingine katika siasa za kitaifa na kimataifa
 
Lema hana pesa, aseme hivyo tu. Kwamba hana pesa za kutoa rushwa ama kununua kura kamavile wanavyofanya wale "Mabilionea" wa CHADEMA kutokea kanda za kusini na kati.


Hata Ubunge, ajivue tu kwa Ustawi wa Nchi.
 
Ni chama Cha Wachaga ndio ila huyu ni mfuasi wa Lisu
Kwahiyo amuache mchaga mwenzake akawe mfuasi wa mnyaturu?! Sasa hiyo formula ya kichagaa mbona ni kama inakataa? Huoni unawavuruga chawa wenzio hawajui washike lipi?
uko kwa lissu kwakuwani ombaomba mwenziye wachaga hawajawahi kuwa ombaomba kama lema aiseee
Honestly hata sijui unaongea utoto gani?
 
Sio Propaganda bali ni ukweli mtupu ,chadema na siasa za ukabila ni kama kuku na yai
Ni haki yako maana huko mnamezeshwa propaganda za kizee, na kwakuwa ww ni mzee sioni unachomokaje kwenye hilo.
 
Hii ni maturity, hata ningekuwa mimi, huku Gambo, kule Konda Boy, huku Ole Sabaya... unategemea nini?!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…