GE2025 Godbless Lema amekamatwa leo Novemba 08, 2025 maeneo ya USA River, Arusha

GE2025 Godbless Lema amekamatwa leo Novemba 08, 2025 maeneo ya USA River, Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
‪Kufuatia taarifa kwa umma iliyotolewa na Jeshi la Polisi 07/11/25 na kutaja orodha ya watu 10 ambao linawasaka ili kuwakamata katika orodha hiyo akiwepo Godbless J. Lema, leo 08/11/25, Godbless Lema amekamatwa maeneo ya USA River, Arusha akiwa na dereva wake na ameingizwa kwenye gari aina ya Alphard na kuelekea uelekeo wa Moshi. ‬

Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Twaha Mwaipaya ameandika, "Nimepokea Taarifa ya kukamatwa Mhe. Godbless Lema Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama leo tar 8/11/2025. Mhe. Lema amekamatwa maeneo ya Usa River Mkoa Wa Arusha akiwa na dereva wake na ameingizwa kwenye gari aina ya Alphad na kuelekea uelekeo wa Moshi, Tunaendelea kufuatilia na tutatoa taarifa zaidi."
1762608951027.png
​
 
‪Kufuatia taarifa kwa umma iliyotolewa na Jeshi la Polisi 07/11/25 na kutaja orodha ya watu 10 ambao linawasaka ili kuwakamata katika orodha hiyo akiwepo Godbless J. Lema, leo 08/11/25, Godbless Lema amekamatwa maeneo ya USA River, Arusha akiwa na dereva wake na ameingizwa kwenye gari aina ya Alphard na kuelekea uelekeo wa Moshi. ‬
Hiyo Alphard ni gari ya polisi au ndio ametekwa na wasiojulikana ?
 
Back
Top Bottom