Godbless Lema amjibu Misime Mkiwa mbele ya vyombo vya habari kuweni na nidhamu iliyobeba utu

Godbless Lema amjibu Misime Mkiwa mbele ya vyombo vya habari kuweni na nidhamu iliyobeba utu

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Godbless amemjibu Msemaji wa jeshi la Polisi baada ya kuambiwa kuwa anazua taharuki....

Pengine huna TAARIFA, Bwana Msemaji. Nilifika Polisi jana usiku kutoa taarifa na niliwaomba waniweke ndani kama njia muhimu zaidi ya usalama wangu. Lakini hawakutaka kunipa nafasi hiyo salama. Nilikutana na OCCID Bwana Mahita , nilikaa Kituo cha Polisi Kati Arusha takribani saa nzima, tukijadiliana na kutafakari. Waliniambia nirudi nyumbani na niwe makini na wao wanafuatilia. Bwana msemaji , nani anazua Taharuki wauwaji na watekaji au wanatafuta usalama kwa kilio kikubwa. Mkiwa mbele ya vyombo vya habari kuweni na nidhamu iliyobeba utu.

1760708696825.png


1760708524973.png
 
Back
Top Bottom