Sasa hapa ndio amempa sababu ya kumteka, mkisikia amepotea na kuchukuliwa na wasiojulikana anzeni kumuuliza vizuri MisemoMkiwa mbele ya vyombo vya habari kuweni na nidhamu iliyobeba utu.
Labda kalamu imemteleza au kuna Mahita Jr.Mahita bado ni OC CID wilaya ya Arusha?
🤣🤣🤣
Ndiyo Mahita junior mlevi akilewa anapenda kukanyaga magoti ya watuhumiwa.Labda kalamu imemteleza au kuna Mahita Jr.
Ndio huyo huyo JrLabda kalamu imemteleza au kuna Mahita Jr.