Godbless Lema amlilia Freeman Mbowe kwa waraka mzito

Huyu muongo, wakati wa kesi ya Mbowe yeye Lema alikuwa amekimbilia Canada
 
Dah! Watu Bhana! Leo Wanamlilia Mbowe Pamoja Na Yale Yote Waliyoyasema Kipindi Cha Uchaguzi? Yaan Kwa Zile Kashifa Ambazo Hamkuleta Ushahidi Bado Mulitarajia Aendelee Kuwa Na Nyinyi? Kosa Lake Lipi Kuunga Mkono Dira Ya Maendeleo Au Kukaa Kmya?
Mzee aliambiwa akapumzike. Kibaya zaidi press conference ziliendelea kumnanga bila kumpa heshima yake. Huyu Lema alizunguka kwenye Radio kusema jinsi Mbowe alivyovuruga chama na kukiuza. Ni wazi CDM ilikuwa inaondoka moyoni mwa Mbowe kwa njia ngumu. Si jambo rahisi kuwa sehemu ya watu ambao wanaona unawahujumu kwa kuwauza kwa vipande vya fedha.
 
Watu wanasahau maneno waliyotamka dhidi yake
 
Sasa nayakubali yalio mtokea Chacha Wenge anahusika asilimia miamoja
 
Nakumbuka maneno ya Lisu kwamba alipoona kwenye umakamu mwenyekiti anafanyiwa figisu akaamua kupambana na Mbowe kwenye uenyekiti. Sidhani kama kuna dhambi Mbowe kupambana na Lisu pia kwenye nafasi nyingine nchini.
 
Mzulumati sana kawazulumu nduguze wakuzaliwa
 
Nakumbuka maneno ya Lisu kwamba alipoona kwenye umakamu mwenyekiti anafanyiwa figisu akaamua kupambana na Mbowe kwenye uenyekiti. Sidhani kama kuna dhambi Mbowe kupambana na Lisu pia kwenye nafasi nyingine nchini.
Nani kamkatalia aje tu mradi uchaguzi huru
 
..Chadema walimtukana Mbowe.

..Ccm walimtukana, walimharibia mali zake, walimfunga, walimlipisha faini, walimfungulia kesi ya ugaidi.

..Kati ya Chadema na Ccm ni chama kipi kimemtendea ubaya zaidi Freeman Mbowe?
Pumba yeye ndiye kawakoroga
 
Tunashauliwa tusibague, lakini kuna watu kuwaamini inahitaji moyo. Mrtu aliyeendesha maisha yake kwa kutegemea casino, wizi wa magari, eti baadaye awe mchungaji, mwanasiasa, sheikh,....

Watu waliposema huyu ni Dj, kelele zikapigwa za kumtetea. nyingi kikabila. ti akaitwa mwamba. MWAMBA YA NYOKO!
 
Mshana umwambie mtani wako na wenzake,hakuna kitu kibaya kama kulewa ukamtukana mtu ambae kesho utamhitaji baada ya ulevi kuisha kichwani.Hawa walimuona Mbowe kama kisrani lakini leo wanamtaka huyo huyo Mbowe.Mbona pale kwenye ule mkutano kulikuwa na watu wengi mpaka na Profesa Mkumbo lakini hazingumziwi.Uliyemtukana anakuwa wa muhimu kwenye shida.
 
Lema ni mnafiki mkubwa....Chadema imeshawafia
 

Attachments

  • 20250717_224456.jpg
    93.7 KB · Views: 33
Si mlimtukana matusi ya kila namna mkasema kanunulika, ngoja awaonyeshe sasa.Mliambiwa humu mpunguze ukali wa maneno, hamkuskia, matokeo yake ndo haya sasa
Yaani hawa ni mabingwa wa lawama kila kukicha.Wamepewa chama mwaka haujaisha kina pancha kila mahali.Eti wanakuja na maneno ya biblia leo,walipokuwa wanamtukana biblia zilikuwa wapi!!
 
Tifauti na wengi wanavyofiirikwangu mimi Mbowe ni mwanasiasa mzuri, anajua kula na kipofu, ikiwa amealikwa na kama mstaafu kwa nini asiende? Huyu Mbowe ni Chadema waliomshutumu kwa maneno mazito na wakamtaka akae pembeni leo wanamuhitaji?
 
kule kwenu wasio na uchumi mzuri kwani wanasikilizwaga?
kutoka anakoishi Mbowe na kisitu ni nusu saaa tu ameshindwa kwenda hata mara moja. ila Kutoka Anakoishi Mbowe na Dodoma ni masaa 3ila Mbowe ameenda haaaa Akili za kuambiwa changamya na zako
 
Mbowe keshamaliza ngwe yake ya uongozi ndani ya chama, mwacheni apumzike na harakati badala yake kijiti mnacho ninyi endelezeni mapambano. Nampenda sana MZee Mizengo Pinda, yupo kimya kabisa keshamaliza nafasi yake kama kiongozi kawaachia wengine waendeleze pale wao walipoishia
 
Ndio mkome 😁😁

Kwani Huwa hamjifunzi mbona Kuna movie na theory nyingi sana zinazo elezea Tabia za watu wenye Akili kama ya huyo Mzee DJ , Ukiangalia series kama ya Game of throne hauwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa kiholela holela kamwe
Wamekoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…