Godbless Lema amlilia Freeman Mbowe kwa waraka mzito

Leo Mbowe mbaya duh ngoja nikale zangu makande nilale.
wala hajawahi kuwa mzuri. Hakuwa mwanamabadiliko from the beginning. Damu zilizomwagika kwa sababu ya Wadai haki wa nchi hii zitamlilia yeye na kizazi chake. Mungu hadhihakiwi
 
Ila mlimtukana sana! Mbowe na yeye ni binadamu. Japo namshauri asamehe tuu. Ila yale matusi yalikuwa makali, yakiongozwa na huyo huyo Lema.

Vijana Chadema mlimtukana sana mzee wa watu, tuongee ukweli. Hakuna binadamu anaweza asichukie matusi na dhahaka zile.
 
kutoka anakoishi Mbowe na kisitu ni nusu saaa tu ameshindwa kwenda hata mara moja. ila Kutoka Anakoishi Mbowe na Dodoma ni masaa 3ila Mbowe ameenda haaaa Akili za kuambiwa changamya na zako
Akienda kisutu lisu ataachiwa sio? Au umesahau kashf alizotoa TAL kwa mbowe kipindi cha uchaguzi wa ndani?
 
Aende Kisutu Lisu akijikwaa akaanguka mseme ni Mbowe!!Tutumie akili za watu wazima jamani.Lisu alimtuhumu Mbowe kwa mengi bora akae kimya
Umenena vema tahadhari ni muhimu. Hawachelewi kusema anajipendekeza baada ya pesa zao kupungua
 
Anayelialia ndo msaliti namba moja kwa mbowe. Kama Lema na Lissu walishiriki kwenye njama za kumuondoa Mbowe madarakani huku akiwa jela.

Lissu aliumizwa vibaya sana lakini Mbowe na marafiki zake walihakikisha kuwa Lissu anapata huduma bora. Cha ajabu Lissu kwenye kuutaka uongozi akawa anamkashifu mbowe na maneno ya kejeli.

Lissu, Lema na Msigwa hawapaswi kulishia kuhusu Mbowe kuwapa attention.

Kumbe kukaa kimya kwa Mbowe kunawaumiza kiasi hicho. Big up Mbowe.
 
Mbowe anaangalia maslahi yake binafsi. As long as miamala inasoma kwenye account zake yeye hajali chochote
 
Kwa hiyo Mbowe amesusa?
 
Ndio maana walioona mbali TundubLisu alivyopigwa risasi walimruhumu Mboweeeeeee
 
..Chadema walimtukana Mbowe.

..Ccm walimtukana, walimharibia mali zake, walimfunga, walimlipisha faini, walimfungulia kesi ya ugaidi.

..Kati ya Chadema na Ccm ni chama kipi kimemtendea ubaya zaidi Freeman Mbowe?

inauma zaidi unapotukanwa na wako kuliko wa mbali, Maumivu yake ni makubwa sana. hata wewe unalifahamu hilo.
 
Hadi mnyooke kabisaaaaa maana mlimpumzisha kwa lazima sasa mnamlilia ili aje awafanyie nini? Na mliona mnajiweza sasa pambaneni na Hali yenu Sisi tukazindue dira yetu
 
Dah! Watu Bhana! Leo Wanamlilia Mbowe Pamoja Na Yale Yote Waliyoyasema Kipindi Cha Uchaguzi? Yaan Kwa Zile Kashifa Ambazo Hamkuleta Ushahidi Bado Mulitarajia Aendelee Kuwa Na Nyinyi? Kosa Lake Lipi Kuunga Mkono Dira Ya Maendeleo Au Kukaa Kmya?
Kwahiyo ni heri awe na CCM?
 
Itoshe kusema Lisu hana shukran na ni bingwa wa kurudisha maumivu badala ya shukran.Na hili litaigharimu Chadema kwa muda mrefu maana ameshawaambukiza hiyo roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…