Godbless Lema ampiga za uso Nabii Bashando, umeingia kwenye anga za mtoto wa Mungu utakufa hivi karibuni

Godbless Lema ampiga za uso Nabii Bashando, umeingia kwenye anga za mtoto wa Mungu utakufa hivi karibuni

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kuna kutupiana maneno Kati ya Lema na huyu Nabii

Sasa kilichotekea ni hivi
======
Post ya juu (nabii_bashando):
“Nimekuwa na maombi ya kuutakasa mji wa Arusha na kwa siku sita hatimaye leo nimemaliza…. Ujumbe nilioupata ni juu ya huyu nabii wa CHADEMA kwamba atengeneze mambo ya nyumbani kwake yaliyosalia maana muda wake wa kutwaliwa umewadia

Post ya Lema
Mungu huwa asikilizi maombi ya MATAPELI. Kwani Nyama choma amekuwa Mungu siku hizi. PUMBAVU MKUBWA WEWE. Sasa Mwenyezi Mungu atakuondoa wewe na utakufa wewe mapema sana maana umeingia kwenye anga za mtoto wa Mungu. Na hao waliokutuma PUMBAVU zao. Na watu wote semeni AMEN.

photo_2025-12-05_19-26-50.jpg
 
Back
Top Bottom