Godbless Lema amtaka Rostam Aziz asambaze Umeme wa Sola nchi nzima, asiishie Zanzibar tu

Godbless Lema amtaka Rostam Aziz asambaze Umeme wa Sola nchi nzima, asiishie Zanzibar tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima.

Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika.

Lema ametoa ushauri huu twitani.

=========

Rostam.PNG
 
Huu ndio ujinga wa kupitiliza. Kazi haijaanza yeye anambebesha zigo lingine [emoji3062]
Pathetic ignorant walahi! Yeye kwa nini asiwatafute Watanzania wenye mipesa wakafanya wao kuliko kujilimbikizia mipesa na kujenga minyumba mikubwa ambayo ni makaburi yao soon.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima

Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika

Lema ametoa ushauri Huu twitani!
Nilitaka nitoe tusi kwa mala ya kwanza humu jf, ila nimekumbuka asbh nimetoka kusali.

Watu wa dili waiishie huko Z'bar huku tunalo bwawa tayari tutaanza kuvuna umeme muda si mrefu.Halafu zbar ni mkoa mmoja tu, sawa na mkoa wa tabora au Dodoma kwa ukubwa.
 
Back
Top Bottom