Godbless Lema amtaka Rostam Aziz asambaze Umeme wa Sola nchi nzima, asiishie Zanzibar tu

Godbless Lema amtaka Rostam Aziz asambaze Umeme wa Sola nchi nzima, asiishie Zanzibar tu

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima

Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika

Lema ametoa ushauri Huu twitani!

Lema tokea lini anatoa ushauri wa kujenga au positive advice kwa mwana CCM, sijawahi sikia, mimi najua CHADEMA is a NO POLICY political party
 
Hivi huyu Lema hana washauri ? Anaropoka hadi anatia kinyaa aisee
 
Lema tokea lini anatoa ushauri wa kujenga au positive advice kwa mwana CCM, sijawahi sikia, mimi najua CHADEMA is a NO POLICY political party
Chadema ni chama cha kulalamika tu na kubebana kikabila ,hivi kwa akili ndogo ya Lema asingekuwa mchaga naamini pale chadema asingesika hata kidogo
 
Afadhali Zanzibar yetu nayo Iendelee.Tukijengewa Tena na Hilo daraja la kutoka DAR mpaka Pemba kwa Fedha za ZANZIBARA,tunalosikia tetesi kwamba litajengwa,Hapo mfumo wa SERIKALI 3(ZANZIBAR,TANGANYIKA,na SERIKALI Ndoogo TU ya MUUNGANO) tutakuwa umekaribia sana
 
Hiyo kamati kuu ya CHADEMA ina nini? Si sawa na kamati za kitchen part tu. Haina nguvu wala ushawishi wowote nchini.
Huyo Mama yenu ameiita kwa maridhiano kwa kazi Gani kama Haina ushawishi? Hata hoja ya katiba mpya mlitukejeli humu ila CCM wameshakubali mchakato uanze.

Huwezi elewa nguvu ya Chadema kama unashinda kwenye kiyoyozi siku nzima. Hujiulizi kwanini wote waliokimbia Chadema at some point wamekuepo baraza la mawaziri?
 
Nilitaka nitoe tusi kwa mala ya kwanza humu jf.ila nimekumbuka asbh nimetoka kusali.

watu wa dili .waiishie huko zbar huku tunalo bwawa tayari tutaanza kuvuna umeme muda si mrefu.Halafu zbar ni mkoa mmoja tu ,sawa na mkoa wa tabora au Dodoma kwa ukubwa .
We ndio huna akili kabisa, huyo JPM ndio aliahidi kupitia ilani ya CCM kuhusu energy mix kwamba kutakuepo na Solar, Geothermal, Gesi, na umeme wa Maji. So serikali ya Tanzania tayari Ina miradi yake kwenye maeneo hayo.

Hii nchi nimegundua vil.aza ni wengi sana, ujuaji mwingi ila hamna taarifa yoyote kazi kukariri tu maisha. Mfano Bwawa la umeme likipata hitilafu au kukiwa na matengenezo unataka nchi nzima ikae gizani?
 
Lema tokea lini anatoa ushauri wa kujenga au positive advice kwa mwana CCM, sijawahi sikia, mimi najua CHADEMA is a NO POLICY political party
Jinga kabisa.... Kwenye sera zetu tumeongelea sana kuhusu nishati ya energy mix pamoja na PPP kwenye miradi mikubwa. So hiko anachoshauri lema ni Moja ya sera za Chadema hasa Ile ya Market economy ambapo private sector Ina play crucial role kwenye miundombinu pamoja na ukuaji wa uchumi.

Someni kwanza kabla hamjaongea utumbo mtandaoni.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima

Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika

Lema ametoa ushauri Huu twitani!
Tayari!! CHADEMA njaa inawamaliza!!
 
Back
Top Bottom