johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama mjumbe wa kamati kuu ya Chadema!Yeye anamtaka kamanani? Atamlipa kwa hiyo kazi? Waambieni ukweli hao chadema kuwa kuna kauli zingine wanazo toa ni kujidharirisha.
Hahahaaaaaa, aibu hii bro. Usiwe unapost haya mashudu yachadema. Unadharirika wewe.Kama mjumbe wa kamati kuu ya Chadema!
Hiyo kamati kuu ya CHADEMA ina nini? Si sawa na kamati za kitchen part tu. Haina nguvu wala ushawishi wowote nchini.Kama mjumbe wa kamati kuu ya Chadema!
Labda kama hujui maana ya Siasa 😃😃😃Hahahaaaaaa, aibu hii bro. Usiwe unapost haya mashudu yachadema. Unadharirika wewe.
Aliyeshauriwa ni mwekezajiHiyo kamati kuu ya CHADEMA ina nini? Si sawa na kamati za kitchen part tu. Haina nguvu wala ushawishi wowote nchini.
😂😂😂 Ndani ya Simba Mtoto Dar saa 3 juu ya alama!Tatizo la JF Ina takataka nyingi
Mjumbe wa kikao cha kitchen anashauri, pesa anatoa yeye Lema mifukon8 mwake zile alizohongwa na bwana zake huko nje au?Aliyeshauriwa ni mwekezaji
Hata wewe Unaweza kushauri bwashee japo haujulikani na yoyote😃😄
Unataka uletewe Katiba mpya ukiwa umekaa hapo tu? Ajabu sanaKATIBA mpya iletwe
Kama umeudhika kwa kauli hiyo kunywa sumu ufeYeye anamtaka kamanani? Atamlipa kwa hiyo kazi? Waambieni ukweli hao chadema kuwa kuna kauli zingine wanazo toa ni kujidharirisha.
Ndio vijsna wa sasacwa chadema hawa? Mungu awasaidie sana.Kama umeudhika kwa kauli hiyo kunywa sumu ufe
Nilitaka nitoe tusi kwa mala ya kwanza humu jf, ila nimekumbuka asbh nimetoka kusali.Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima
Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika
Lema ametoa ushauri Huu twitani!