Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima
Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika
Lema ametoa ushauri Huu twitani!
Wewe ndiye unadhalilika. Amemtaka kama mwananchi. Kimsingi amemuomba awekeze kama alivyofanya Zanzibar. Maana hakuna anayeweza kumlazimisha katika pesa zake.Hahahaaaaaa, aibu hii bro. Usiwe unapost haya mashudu yachadema. Unadharirika wewe.
Wewe ndiye usaidiwe kwani una makamasi kichwani badala ya ubongoNdio vijsna wa sasacwa chadema hawa? Mungu awasaidie sana.
Hivi huyu Lema hana washauri ? Anaropoka hadi anatia kinyaa aiseeMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima
Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika
Lema ametoa ushauri Huu twitani!
Chadema ni chama cha kulalamika tu na kubebana kikabila ,hivi kwa akili ndogo ya Lema asingekuwa mchaga naamini pale chadema asingesika hata kidogoLema tokea lini anatoa ushauri wa kujenga au positive advice kwa mwana CCM, sijawahi sikia, mimi najua CHADEMA is a NO POLICY political party
Kudharirika ndiyo Nini we pimbiHahahaaaaaa, aibu hii bro. Usiwe unapost haya mashudu yachadema. Unadharirika wewe.
π€£π€£π€£πππ€£π€£π. Wee ndio bure bora Lema!!Unadharirika wewe
Itakuja na umeme wa solar?KATIBA mpya iletwe
Achana na uyo boya kwanza kuandika hajuiLabda kama hujui maana ya Siasa πππ
Huyo Mama yenu ameiita kwa maridhiano kwa kazi Gani kama Haina ushawishi? Hata hoja ya katiba mpya mlitukejeli humu ila CCM wameshakubali mchakato uanze.Hiyo kamati kuu ya CHADEMA ina nini? Si sawa na kamati za kitchen part tu. Haina nguvu wala ushawishi wowote nchini.
We ndio huna akili kabisa, huyo JPM ndio aliahidi kupitia ilani ya CCM kuhusu energy mix kwamba kutakuepo na Solar, Geothermal, Gesi, na umeme wa Maji. So serikali ya Tanzania tayari Ina miradi yake kwenye maeneo hayo.Nilitaka nitoe tusi kwa mala ya kwanza humu jf.ila nimekumbuka asbh nimetoka kusali.
watu wa dili .waiishie huko zbar huku tunalo bwawa tayari tutaanza kuvuna umeme muda si mrefu.Halafu zbar ni mkoa mmoja tu ,sawa na mkoa wa tabora au Dodoma kwa ukubwa .
= kujidhalilisha...kujidharirisha.
Jinga kabisa.... Kwenye sera zetu tumeongelea sana kuhusu nishati ya energy mix pamoja na PPP kwenye miradi mikubwa. So hiko anachoshauri lema ni Moja ya sera za Chadema hasa Ile ya Market economy ambapo private sector Ina play crucial role kwenye miundombinu pamoja na ukuaji wa uchumi.Lema tokea lini anatoa ushauri wa kujenga au positive advice kwa mwana CCM, sijawahi sikia, mimi najua CHADEMA is a NO POLICY political party
Tayari!! CHADEMA njaa inawamaliza!!Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima
Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika
Lema ametoa ushauri Huu twitani!
Hawa wahamiaji haramu toka Burundi ni shida kweli.= kujidhalilisha
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?