Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tuseme kwamba Mrisho Gambo amechoka kuwa mnafiki? Haya tutayaona mengi sana hadi kufika 2030
=========
Sawa bhana Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda live. Na usiwe na wasi wasi... huku hakuna nyama za matambiko