Godbless Lema amwalika Mrisho Gambo Ijumaa Mei 22 atoe ushuhuda, aliyokutana nayo. "Huku hakuna nyama za matambiko"

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Tuseme kwamba Mrisho Gambo amechoka kuwa mnafiki? Haya tutayaona mengi sana hadi kufika 2030
=========
Sawa bhana Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda live. Na usiwe na wasi wasi... huku hakuna nyama za matambiko

 
Yale yale ya 2015, sawa wananchi tupo kuchekea chooni πŸ˜‚
 
Yale yale ya 2015, sawa wananchi tupo kuchekea chooni πŸ˜‚
Mnachekea chooni huku mnapigwa na Life gumu? Mkilalama mafuta bei juu,na ukosefu wa ajira.Pambaneni muikomboe nchi yenu badala ya kuwategemea wanasiasa.
 
Mnachekea chooni huku mnapigwa na Life gumu? Mkilalama mafuta bei juu,na ukosefu wa ajira.Pambaneni muikomboe nchi yenu badala ya kuwategemea wanasiasa.
Umeelewa nilichoandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…