Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.
Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.
Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.
Mungu Ibariki Tanga
Ukumbuki Polisi kuomba mahakama kumnyima mtuhumiwa dhamana ili kumlinda mtuhumiwa asirudi kwa jamii/wananchi kwa ajili ya usalama wake?Masauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.
Kuzomewa waziri ni kitu cha kawaida maishani. Ukikubali kupigiwa makofi mbele ya watu na uwe tayari kuzomewa mbele ya kamera za waandishi wa habari.Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.
Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.
Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.
Mungu Ibariki Tanga
Tanga hoyeeeeeeeeeeeeeeee!!!Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.
Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.
Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.
Mungu Ibariki Tanga
Kuzomewa msibani ni aibuKuzomewa waziri ni kitu cha kawaida maishani. Ukikubali kupigiwa makofi mbele ya watu na uwe tayari kuzomewa mbele ya kamera za waandishi wa habari.
Naanza kuhisi kwamba Lissu alipigwa risasi na CHADEMA wenyewe, Samia simama imara haya ni mapito tu ni upepo utapita.
RIP KIbao, upumzike kwa amani.
Noma sana!Umeona kilichomkuta?
Mungu atalipa tu, damu ya mtu haipotei
inaonekana hutakuja kufa wala kufiwaMasauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.
Lema kama nani anatoa ushauri,kiufupi msiba wowote wa mtanzania masauni ataudhuria na hakuna kiumbe chochote kitamgusa ,mwanafamilia yupi kasema hamtaki masauni ,msiwalishe watu maneno ya wafuasi wa chadema,sema wafuasi wa chadema hawamtakiMaelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.
Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.
Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.
Mungu Ibariki Tanga
Unatia aibu ukiwa wapi? Wale waliotaka kumlamba makofi hukuwaona?Lema kama nani anatoa ushauri,kiufupi msiba wowote wa mtanzania masauni ataudhuria na hakuna kiumbe chochote kitamgusa ,mwanafamilia yupi kasema hamtaki masauni ,msiwalishe watu maneno ya wafuasi wa chadema,sema wafuasi wa chadema hawamtaki
SahihiLema siyo mwanafamilia
Mbona amejitambulisha yeye kama mwenyekiti wa kanda chama alichokuwepo mzee Kibao na alupewa nafadi ya kuongea mzee baba. Vitu vingine si vyakuanzisha hoja ambayo inadhihirisha upumbavu uliokujaa kichwani mkuu.Lema siyo mwanafamilia
Na waziri Familia ndiyo ilimpa Nafasi awemo kwenye list ya wazungumzaji yeye Lema kama nani kuzuia maamuzi ya familia?Mbona amejitambulisha yeye kama mwenyekiti wa kanda chama alichokuwepo mzee Kibao na alupewa nafadi ya kuongea mzee baba. Vitu vingine si vyakuanzisha hoja ambayo inadhihirisha upumbavu uliokujaa kichwani mkuu.
Wanachadema hao na wangejaribu kumlamba waone mtu mmoja anavyoweza kutofautishwa kwenye kundi ,if wishes were horses beggers would ride.Haya mambo ya kutekana hayakubaliki na hayavumiliki ila weredi lazima utumike kupata waarifu sio Hisia ,hakuna hisia ilishaleta jibu la mambo hata mepesiUnatia aibu ukiwa wapi? Wale waliotaka kumlamba makofi hukuwaona?
Hakuna kilichomkuta huyu hapa ameshiriki kuzikaUmeona kilichomkuta?
Ni mwanafamilia sababu ni Mtanzania sio wa kutoka Burundi au Uganda so tuache kupindisha reality.Lema siyo mwanafamilia
Ni kweli Hata masaun ni mtanzania ndo maana kazikaNi mwanafamilia sababu ni Mtanzania sio wa kutoka Burundi au Uganda so tuache kupindisha reality.
Sorry!! Wewe ndo mke wa Masauni??Ni kweli Hata masaun ni mtanzania ndo maana kazika
Aache kwenda akose posho ya safari? Kufa kufaana bana.Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.