Godbless Lema amwelekeza Hamad Masauni kutokuhudhuria Mazishi ya Watu Wanaotekwa, atahadharisha kwamba inaweza kusababisha Maafa Mengine

Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.

Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.

Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.

Mungu Ibariki Tanga

View: https://x.com/iboysean/status/1833109828744458489?s=46
 
Masauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.
Ukumbuki Polisi kuomba mahakama kumnyima mtuhumiwa dhamana ili kumlinda mtuhumiwa asirudi kwa jamii/wananchi kwa ajili ya usalama wake?
Hivyo Waziri Masauni nae analindwa usalama wake dhidi ya hasira ya wananchi wafiwa..
FINITO.
 
Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.

Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.

Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.

Mungu Ibariki Tanga
Kuzomewa waziri ni kitu cha kawaida maishani. Ukikubali kupigiwa makofi mbele ya watu na uwe tayari kuzomewa mbele ya kamera za waandishi wa habari.

Naanza kuhisi kwamba Lissu alipigwa risasi na CHADEMA wenyewe, Samia simama imara haya ni mapito tu ni upepo utapita.

RIP KIbao, upumzike kwa amani.
 
Tanga hoyeeeeeeeeeeeeeeee!!!
 
Kuzomewa msibani ni aibu
 
Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.

Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.

Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.

Mungu Ibariki Tanga
Lema kama nani anatoa ushauri,kiufupi msiba wowote wa mtanzania masauni ataudhuria na hakuna kiumbe chochote kitamgusa ,mwanafamilia yupi kasema hamtaki masauni ,msiwalishe watu maneno ya wafuasi wa chadema,sema wafuasi wa chadema hawamtaki
 
Unatia aibu ukiwa wapi? Wale waliotaka kumlamba makofi hukuwaona?
 
Lema siyo mwanafamilia
Mbona amejitambulisha yeye kama mwenyekiti wa kanda chama alichokuwepo mzee Kibao na alupewa nafadi ya kuongea mzee baba. Vitu vingine si vyakuanzisha hoja ambayo inadhihirisha upumbavu uliokujaa kichwani mkuu.
 
Na waziri Familia ndiyo ilimpa Nafasi awemo kwenye list ya wazungumzaji yeye Lema kama nani kuzuia maamuzi ya familia?
 
Unatia aibu ukiwa wapi? Wale waliotaka kumlamba makofi hukuwaona?
Wanachadema hao na wangejaribu kumlamba waone mtu mmoja anavyoweza kutofautishwa kwenye kundi ,if wishes were horses beggers would ride.Haya mambo ya kutekana hayakubaliki na hayavumiliki ila weredi lazima utumike kupata waarifu sio Hisia ,hakuna hisia ilishaleta jibu la mambo hata mepesi
 
Attachments

  • 20240909_185841.jpg
    20240909_185841.jpg
    417.1 KB · Views: 2
Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.

Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.

Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.

Mungu Ibariki Tanga
Aache kwenda akose posho ya safari? Kufa kufaana bana.
 
Back
Top Bottom