Godbless Lema amwelekeza Hamad Masauni kutokuhudhuria Mazishi ya Watu Wanaotekwa, atahadharisha kwamba inaweza kusababisha Maafa Mengine

Safi kabisa.
 
Mkuu iweke sambamba na clip watu wasikie Lema kawanyoosha.......
 
Unyama unaoendelea sasa ni zaidi ya ule uliofanywa na Idd Amin.
Mungu atunusuru waja wake.
 
Katika hili la HASIRA ZA WANANCHI Nakubaliana kabisa na Mh Mbowe na Mh Lema Viongozi wa Kisiasa wasiwachukulie poa hawa Wanyonge kama wanavyopenda kuwaita

Ni Watanganyika hawa hawa walimpiga kama mwizi Mh Mabina hadi wakamuuwa

Nimeanza kuogopa 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…