Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Full colorsBlack and white.....
Msiba huwa hauna kadi ya mwaliko yeyote aweza hudhuriaNan alimshauri kwenda huko.. mie nilishtuka kuskia kaenda ktk huo Msiba..
Huo Msiba wangeuacha upite tu.. watu wanahisia kali sana muda huu.
Mi ni Baba yako wa kamboSorry!! Wewe ndo mke wa Masauni??
Halali Tanzania ishinde vita na Uganda ,huyu mzee alikuwa military intelligent,mtu chini
Safi kabisa.Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.
Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.
Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.
Mungu Ibariki Tanga
Duh 🙄 Kumbe ni Mzee Kabisa !
Watu waachage ujinga na uchochezi kama maneno yalivyoMasauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.
Mkuu iweke sambamba na clip watu wasikie Lema kawanyoosha.......Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.
Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.
Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.
Mungu Ibariki Tanga
Miaka 69Duh 🙄 Kumbe ni Mzee Kabisa !
RIP Mzee Ali Kibao 🙏🙏
Hivi wewe jamaa kumbe tena huwaga ni mpumbabu kiasi hikiMasauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.
Duh 🙄!!Miaka 69
NdiyoHivi wewe jamaa kumbe tena huwaga ni mpumbabu kiasi hiki
Aliyemuua Marehemu haruhusiwiMsiba huwa hauna kadi ya mwaliko yeyote aweza hudhuria
Serikali ni jilala na hao wanaozomea pengine hawajui sababu ya kifo cha huyo marehemu.Kuzomewa msibani ni aibu