Godbless Lema ana PHD ngapi mpaka awe mjuvi wa kila jambo duniani?

Godbless Lema ana PHD ngapi mpaka awe mjuvi wa kila jambo duniani?

Is Godbless Lema an Egocentric person?/Je, Godbless Lema ni mbinafsi na mdharau mawazo ya wengine?


  • Total voters
    2
  • Poll closed .

Tarishi

Senior Member
Joined
May 9, 2008
Posts
105
Reaction score
150
Hivi majuzi nimesoma post ya mtu anayeitwa Julius Mtatiro (siku indie Mhe DC ama majina yamefanana) amepost hio post huku pembeni yupo Godbless Lema Mbunge Mstaafu wa Arusha.

Baada ya kuisoma post hiyo nikajipa assignment kufuatilia platforms zote za Mbunge Mstaafu wa Arusha, nikajikuta nastuka na kuguna kidogo. Kwa maana huyo Mheshimiwa ametia neno katika karibu kila jambo lililotokea nchini na linalotokea hivi sasa.

Yaani Mhe. Lema ana ujuzi wa kila jambo duniani.Na anavyoongea kwa sauti ya chama chake (ya ku-shout kama mhubiri wa Congo aliyefukuzwa), ni kama mtu aliyewahi kuishi nchi ingine tofauti na Tanzania hivyo ana terms of reference ya kila jambo kwa kuwa limetokea huko na ameliishi na athari ama madhara yake anajua. La kama hana, basi aache kujifanya mjuaji wa kila jambo as if amewahi kuliishi. In Other words SHUT THE https://jamii.app/JFUserGuide UP!!!

Nadiriki kukubaliana na Mtatiro na post yake ambayo sehemu imeandikwa hivi:

Someone who thinks he knows everything and refuses to accept advice or information from others.
(Mtu anayedhani anajua kila kitu na hakubali mawazo na ushauri wa wenzake au mtu anayeamini kuwa wenzake wote hawafikirii, hawana fikra pevu na kwamba ni yeye tu) -

Synonyms: Know-all.
Type of: Egoist,
Type 2 Egotist,
Tupe 3: Egocentric,
Type 4: Egoistic,
Tupe 5: Egoistical
Type 6: Swellhead,
Type 7: A conceited person
Type 8: A self-centered person.

(Self-centered people tend to ignore the needs of others and only do what's best for them. You can also call them egocentric, egoistic, and egoistical).

(Mtu anayependa kudharau mahitaji ya wengine na anafikiria watu wanapaswa kujishughulisha na ajenda moja tu ambayo kwayo yeye anaiamini).

The psychologists understand this subject very well (Wanasaikolojia wanalifahamu somo hili vizuri sana).

Nategemea na wala sintoshangaa kushambuliwa kwani kuna watu mawazo yao ni Bliblia ama Msahafu na wengine wote ni wapuuzi, wasaliti, hawajasoma na haewajui kitu etc. Etc. etc….

Sitaki kwenda katika historia ya Lema kabla hajawa Mbunge, ila niulize tu hivi yeye hizi PhD za kujua kila jambo duniani kaipatia chuo gani???

Screenshot 2024-09-11 at 1.02.37 PM.png
 
kuna mtu mjinga kuliko mtatilo nchi hii labda kingwendu?
 
Back
Top Bottom