Huyo Gambo ambae hata Raisi katuambia ni mzandiki na mfitini asiejua kufanya kazi au unazan tumesahauLema Arusha hana chake tena, amebaki kushabikiwa na kikundi cha wachaga wenzake, wanawake wote arusha wanamsapoti mrisho gambo aliewapa mikopo .
Mataga Arusha hamtaamini macho yenu na masikio yenu.Lema Arusha hana chake tena, amebaki kushabikiwa na kikundi cha wachaga wenzake, wanawake wote arusha wanamsapoti mrisho gambo aliewapa mikopo .
Labda mikopo ya mapenzi, wachaga wana akili ndiyo maana kwao hakuna nyumba za tembe.Lema Arusha hana chake tena, amebaki kushabikiwa na kikundi cha wachaga wenzake, wanawake wote arusha wanamsapoti mrisho gambo aliewapa mikopo .
Inaonekana Lema alienda kwenye mtaa kuonana na wamama ambapo Kiutaratibu ni eneo lililopo chini ya Diwani. Hivyo akaona amkaribishe Diwani ili kuweka hali ya hewa iwe sawa hasa kama alikuwa hajamjulisha. Naona wamama hapo kama 20...
Lema Arusha hana chake tena, amebaki kushabikiwa na kikundi cha wachaga wenzake, wanawake wote arusha wanamsapoti mrisho gambo aliewapa mikopo.
Inaonekana nini?Inaonekana Lema alienda kwenye mtaa kuonana na wamama ambapo Kiutaratibu ni eneo lililopo chini ya Diwani. Hivyo akaona amkaribishe Diwani ili kuweka hali ya hewa iwe sawa hasa kama alikuwa hajamjulisha. Naona wamama hapo kama 20.
2015 kuna fala mmoja pale Songea mjini alishinda kwa Kimbunga halafu akauza ushindi matokeo yakapinduliwa.Heshima anayopata Lema akiwa chadema leo ni matokeo ya msimamo alioongozwa na Mh. freeman mbowe mwaka 2010 alipotaka kuuza jimbo la Arusha(wakati akigomea na yule mama simkumbuki jina) Lowassa na CCM kiujumla walimrubuni kumpatia nyumba ya kifahari njiro na pesa nyingi(b) lakini mbowe alitua fasta na helicopter kutokea hai.
Huku ofisi zikiwa zimezingirwa na wananchi wanaoshinikizwa Lema atangazwe kijana akiwa anatetemeka, mbowe akamwambi "angalia kesho yako, maamuzi yako mikononi mwako, chuku hiyo offer, mimi sitakuwa na la kuwaambia hao watu hapo nje, na ikiwezekana, nitasema ukweli" kijana akawaza.
Kisha akaikataa offer ile hatimae akatangazwa watu waliofurika wakarindima kwa shangwe huku lowasa na wapambe wake wakitoka vichwa chini hadi leo hii heshima yake ipo pale pale toka kwa wana Arusha.