tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Mrisho Gambo katokea kukubalika sana ARUSHA, katumia fimbo ya uRC kukijenga chama, kudhoofisha upinzani, kusimamia maendeleo ipasavyo ya ARUSHA, kutatua kero mbalimbali za wanaArusha ikiwemo kutoa mikopo kwa wakina mamá na vijana kupitia makusanyo ya Halmashauri ya jiji
Lema amekwishajiandaa kisaikolojia kuachia jimbo maana kambi yake haswa ikiundwa na madiwani na wenyeviti Serikali za mtaa imedhoofishwa vilivyo baada ya wengi wao kuhamia CCM katika lile vuguvugu la kuunga mkono juhudi za Mh Rais na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi
Kiukweli Gambo kateka hisia za watu, na atachukua jimbo vizuri kabisa,, kijana alijiandaa na amepikika