Uchaguzi 2020 Godbless Lema anatakiwa kupongezwa kwa kumkaribisha mgombea wa CCM apige kampeni kwenye jukwaa la CHADEMA

Mrisho Gambo katokea kukubalika sana ARUSHA, katumia fimbo ya uRC kukijenga chama, kudhoofisha upinzani, kusimamia maendeleo ipasavyo ya ARUSHA, kutatua kero mbalimbali za wanaArusha ikiwemo kutoa mikopo kwa wakina mamá na vijana kupitia makusanyo ya Halmashauri ya jiji

Lema amekwishajiandaa kisaikolojia kuachia jimbo maana kambi yake haswa ikiundwa na madiwani na wenyeviti Serikali za mtaa imedhoofishwa vilivyo baada ya wengi wao kuhamia CCM katika lile vuguvugu la kuunga mkono juhudi za Mh Rais na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi

Kiukweli Gambo kateka hisia za watu, na atachukua jimbo vizuri kabisa,, kijana alijiandaa na amepikika
 
Lema Arusha hana chake tena, amebaki kushabikiwa na kikundi cha wachaga wenzake, wanawake wote arusha wanamsapoti mrisho gambo aliewapa mikopo.
Ni kweli.

Kumbe kuwa shabiki wa Lumumba buku saba ni lazima kujitoa ufahamu ili mkono uende kinywani?
 
Hahahahhahh Lema ni KIchwa hata Kigwangwala hawezi fanya hii kitu.
Acha Kigwangala hata Kassim Majaliwa na Job Ndugai hawawezi kufanya kama LEMA....

Ndugai alifikia hatua ya kumteka mhombea Udiwani wa Chadema kupitia kata ya Ugogoni, KONGWA ili tu kumfanya hawara yake apite bila kupingwa na akafanikiwa.

Bravo Godbless Jonathan Lema !!
 
Uko arusha mkuu?.karibu nyama ya tembo huku njiro,Gambo hata asikiki huku kwetu..
 

Hiki ulichokiandika hapa kinadhihirisha kuwa huijui Arusha zaidi ya kuuona ule mnara wa Azimio huko tbc...
Msisahau kuwa ni hapo hapo Arusha ndo mlikwapua fedha kutoka kwenye maduka ya kubadilishia fedha... kibabe, kijeshi kwa maagizo ya JPM na uratibu wa Mrisho Gambo...
 
Yupo kwao Sinoni....ni mdada mzuri saana kwa tabia na utu, kwa kifupi ni Binadamu.
 
Siasa syo uadui
Huyo msofe licha ya kuwa ccm lkn lema anamkubaligi sana

Ova
 
Good moments
Lema Hero Again.
 
Siasa syo uadui
Huyo msofe licha ya kuwa ccm lkn lema anamkubaligi sana

Ova
Hao waliunga mkono juhudi kwa ubabe tu lkn kiroho bado wapo Chadema
 
Inaonekana Lema alienda kwenye mtaa kuonana na wamama ambapo Kiutaratibu ni eneo lililopo chini ya Diwani. Hivyo akaona amkaribishe Diwani ili kuweka hali ya hewa iwe sawa hasa kama alikuwa hajamjulisha. Naona wamama hapo kama 20.
Hivi madiwani bado wapo?
 


Aisee
 
Nampongeza Sana mh Lema Kwa siasa hizo nzuri zisizofungamana

Tunaweza kuzomea na hata kuwaona mafala wengine Kwa kitendo alichofanya Mh Lema, lakini Ukiwa mwanasiasa na ukakomaa, Hufikia mahali mtu unakuwa na jicho la mwewe!

Tunachokitaka Sisi Watanzania Kwa ujumla wetu ni kuijenga nchi Yetu Sisi sote bila kutegamea uko na Chama gani, Na namuomba Mwenyezi Mungu atufanikishe tuvuke kwenye siasa uchwara za kutukanana na kuzomeana na kumwona mwingine ni adui na kumbe kila mmoja ni mjenga nchi ileile moja Nayo ni TANZANIA

Sasa! Kwa siasa zilizopo sasa hasa Kwa wapinzani, zimekuwa hazitabiriki kirahisi Kwa sababu ya kimazingira na mienendo ya awali Kwa kukosa ubunifu wa kupambana na CCM Kwa kipindi hichi cha miaka mitano iliyopita

Na sasa, Lema, anatumia jicho la kuona mbaaali Sana kule ambao wengine ni vigumu kutizama na ukaona,

Heko bwana Lema
 
Hiyo kwa cdm kawaida hata jana diwani wa Bilele CUF alimuombea kura chief na chief akamuombea kura diwani wakt wa ufunguzi wa kampeni za ubunge Bukoba mjini


Nadhan ndo dhana ya maendeleo hayana chama lkn anavyohubiri Bwna yule kichekesho
 
Mama anaitwa batilda burian naaam nilikua naishi nae jirani pale njiro niongee ukweli kipindi kile nilifaidi maisha
 
Hiyo kwa cdm kawaida hata jana diwani wa Bilele CUF alimuombea kura chief na chief akamuombea kura diwani wakt wa ufunguzi wa kampeni za ubunge Bukoba mjini


Nadhan ndo dhana ya maendeleo hayana chama lkn anavyohubiri Bwna yule kichekesho
Hii ndo maana halisi ya MAENDELEO HAYANA VYAMA. Yule anaehubiri hii slogan kila siku ndio huyo huyo anaewatishia Wapiga kura kua wakichagua Wapinzani hatowaletea Maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…