Uchaguzi 2020 Godbless Lema anatakiwa kupongezwa kwa kumkaribisha mgombea wa CCM apige kampeni kwenye jukwaa la CHADEMA

Uko arusha mkuu?.karibu nyama ya tembo huku njiro,Gambo hata asikiki huku kwetu..

Asante sana kwa ukaribisho, kuna watu wengi tu huko maporini hawawajui wanasiasa wanaogombea ila ikifika wakati wa kupiga kura wanangaalia chama cha baba wa Taifa kisha wanaweka TIKI 😀
 
hahah Gambo alitumia URC wake kutengeneza maadui kuanzia watumishi wote wa almashauri hadi wananchi wa kawaida.
Last 2 weeks mkuu wa mkoa wa sasa aliwapiga kikao watumishi wa Arusha na kuwaomba wasimsusie Gambo maana tayari dalili za kumkazia zimeonekana.
Inshort Gambo amekua na bahati mbaya kila anpogusa panakua negative kwake.
Gambo anadondoka asubuhi sana kabla hata ibada ya kwanza haijaisha.
 
Lema Arusha hana chake tena, amebaki kushabikiwa na kikundi cha wachaga wenzake, wanawake wote arusha wanamsapoti mrisho gambo aliewapa mikopo.
Kama vile Magufuli anavyoshabikiwa na kikundi cha Wasukuma wa Chato siyo?
 
Hili tukio nililishuhudia LIVE. Ila Lowasa ni shida aisee.
 
Lema Arusha hana chake tena, amebaki kushabikiwa na kikundi cha wachaga wenzake, wanawake wote arusha wanamsapoti mrisho gambo aliewapa mikopo.
hivi nyinyi mmerogwa na nani, unaiongelea Arusha ukiwa wapi?
 
mama alisemekana kaolewa zenjibar hahaaaaa chuga one mpooooooooo
 
Lema ana uhakika wa kushinda ndiyo maana amejiamini kiasi hiki.
 
Naikumbuka sana hii. Wananchi waliokuwa nje walimwambia akatae offer atangazwe au akubali offer asitangazwe na Arusha ahame kabisa.
 
2015 kuna fala mmoja pale Songea mjini alishinda kwa Kimbunga halafu akauza ushindi matokeo yakapinduliwa.

Yule fala chama kilimfukuza uanachama akahamia Mbogamboga kwenye siasa kapotea sijui bado anayo ile hela aliyohongwa.

Una maanisha Wakili Edson Mbogoro?
 
Huyo wa CCM alifuata nini katika kikao cha ndani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…