Uchaguzi 2020 Godbless Lema anatakiwa kupongezwa kwa kumkaribisha mgombea wa CCM apige kampeni kwenye jukwaa la CHADEMA

Hata kama ni stage managed lakini alichofanya Lema ni uungwana abao wanasiasa wengi hawana.
 
Huyo mama alikuwa akiitwa Batilda Buriani, alikuja kupewa ubalozi wa Kenya, siku hizi sijui amepotelea wapi.

Dr.Batilda Salha Burian nimemuona kwenye video clip akimpigia kampeni Freddy Lowassa jimbo la Monduli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…