Godbless Lema apongeza harakari za Luhaga Mpina

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
1719328996347.png
Katika ukurasa wake wa X (Twitter) Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini amepongeza harakati zinazofanywa na Luhanga mpina katika kupambania maslahi ya nchi. Katika andiko hilo Lema anaandika

Heshima ni bora kuliko dhahabu na fedha.Unafanya kazi nzuri,umekuwa jeshi la mtu mmoja ndani ya Bunge. Mungu akubariki.Watu wengi wanafuatilia kazi unayofanya. Salute you Bro, ukiwa Arusha na Kaskazini fahamu kuwa una ndugu zako wengi na tafadhali karibu tunywe kahawa Arusha kwa vikao vyenye matumaini zaidi.
PIA SOMA
- Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
 
Lema yuko kaskazini, sasa ulitaka amkaribishe kusini? Lema sio mbwa. Ni baba, mume, kaka, dada na ni mheshimiwa. Anathaminika kuliko wewe, pengine kuliko ukoo wako wote.
Ni zaidi ya mbwa ,unawezaje baba mzima unashinda mitandaoni kutukuna ?
 
Katika ukurasa wake wa X (Twitter) Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini amepongeza harakati zinazofanywa na Luhanga mpina katika kupambania maslahi ya nchi. Katika andiko hilo Lema anaandika

Heshima ni bora kuliko dhahabu na fedha.Unafanya kazi nzuri,umekuwa jeshi la mtu mmoja ndani ya Bunge. Mungu akubariki.Watu wengi wanafuatilia kazi unayofanya. Salute you Bro, ukiwa Arusha na Kaskazini fahamu kuwa una ndugu zako wengi na tafadhali karibu tunywe kahawa Arusha kwa vikao vyenye matumaini zaidi.
PIA SOMA
- Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Chadema tusiingie huu mtego wa kuchukua mafisadi ya CCM. Tumeshachoka maigizo ya CCM, waache wamalizane humo humo. Huyu mpina alipinga katiba mpya enzi za JPM why tumshabikie?
 
Back
Top Bottom