zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hana uzalendo sema kuna vita za makundi na uwaziriNdani ya CCM bado kuna wazalendo wachache - Mpina ana uchungu na nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana uzalendo sema kuna vita za makundi na uwaziriNdani ya CCM bado kuna wazalendo wachache - Mpina ana uchungu na nchi.
Wewe komaa Act Wazalendo yako banaChadema tusiingie huu mtego wa kuchukua mafisadi ya CCM. Tumeshachoka maigizo ya CCM, waache wamalizane humo humo. Huyu mpina alipinga katiba mpya enzi za JPM why tumshabikie?
We kibaraka wa CCMHana uzalendo sema kuna vita za makundi na uwaziri