Lema yuko kaskazini, sasa ulitaka amkaribishe kusini? Lema sio mbwa. Ni baba, mume, kaka, dada na ni mheshimiwa. Anathaminika kuliko wewe, pengine kuliko ukoo wako wote.Huyu mbwa anashindwa kuficha hisia za ukabila wake ,hivi ni lazima kutamka neno kaskazini?
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuMakamanda wameuzwa na Mbowe
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuHawana sera ni wa matukio tu
Wewe mbwa jike huna adabu kabisa.Huyu mbwa anashindwa kuficha hisia za ukabila wake ,hivi ni lazima kutamka neno kaskazini?
Hivi kaskazini ni wapi?Huyu mbwa anashindwa kuficha hisia za ukabila wake ,hivi ni lazima kutamka neno kaskazini?
Sijaona ukabila hapo.Huyu mbwa anashindwa kuficha hisia za ukabila wake ,hivi ni lazima kutamka neno kaskazini?
Ni zaidi ya mbwa ,unawezaje baba mzima unashinda mitandaoni kutukuna ?Lema yuko kaskazini, sasa ulitaka amkaribishe kusini? Lema sio mbwa. Ni baba, mume, kaka, dada na ni mheshimiwa. Anathaminika kuliko wewe, pengine kuliko ukoo wako wote.
Muulize mbow,Lema na Mrema watakupa jibu sahihi.Hivi kaskazini ni wapi?
Tena kwa bei cheeMakamanda wameuzwa na Mbowe
Chadema tusiingie huu mtego wa kuchukua mafisadi ya CCM. Tumeshachoka maigizo ya CCM, waache wamalizane humo humo. Huyu mpina alipinga katiba mpya enzi za JPM why tumshabikie?Katika ukurasa wake wa X (Twitter) Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini amepongeza harakati zinazofanywa na Luhanga mpina katika kupambania maslahi ya nchi. Katika andiko hilo Lema anaandika
Heshima ni bora kuliko dhahabu na fedha.Unafanya kazi nzuri,umekuwa jeshi la mtu mmoja ndani ya Bunge. Mungu akubariki.Watu wengi wanafuatilia kazi unayofanya. Salute you Bro, ukiwa Arusha na Kaskazini fahamu kuwa una ndugu zako wengi na tafadhali karibu tunywe kahawa Arusha kwa vikao vyenye matumaini zaidi.PIA SOMA
- Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15