zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 Jun 26, 2024 #21 FUSO said: Ndani ya CCM bado kuna wazalendo wachache - Mpina ana uchungu na nchi. Click to expand... Hana uzalendo sema kuna vita za makundi na uwaziri
FUSO said: Ndani ya CCM bado kuna wazalendo wachache - Mpina ana uchungu na nchi. Click to expand... Hana uzalendo sema kuna vita za makundi na uwaziri
Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Jun 26, 2024 #22 zitto junior said: Chadema tusiingie huu mtego wa kuchukua mafisadi ya CCM. Tumeshachoka maigizo ya CCM, waache wamalizane humo humo. Huyu mpina alipinga katiba mpya enzi za JPM why tumshabikie? Click to expand... Wewe komaa Act Wazalendo yako bana
zitto junior said: Chadema tusiingie huu mtego wa kuchukua mafisadi ya CCM. Tumeshachoka maigizo ya CCM, waache wamalizane humo humo. Huyu mpina alipinga katiba mpya enzi za JPM why tumshabikie? Click to expand... Wewe komaa Act Wazalendo yako bana
Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Jun 26, 2024 #23 zitto junior said: Hana uzalendo sema kuna vita za makundi na uwaziri Click to expand... We kibaraka wa CCM
zitto junior said: Hana uzalendo sema kuna vita za makundi na uwaziri Click to expand... We kibaraka wa CCM
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jun 26, 2024 #24 Ilipo HAKI tunaungana pamoja bila kujali itikadi ukanda rangi Wala tofauti ya kipato. Huo ndio Uzalendo tuutakao wananchi. Ndugu Lema na Ndugu Mpina, wabarikiwe!!
Ilipo HAKI tunaungana pamoja bila kujali itikadi ukanda rangi Wala tofauti ya kipato. Huo ndio Uzalendo tuutakao wananchi. Ndugu Lema na Ndugu Mpina, wabarikiwe!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 26, 2024 #25 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw