Godbless Lema asimulia alivyopanga mkakati kutoroka (1)

Lena kashutumiwa kupatiwa fedha na watu wa nje.

Lema amejibu shutuma hizo ambazo ziljengwa? Naye anabomoa kwa kujenga shutuma zake?


A reasonable doubt!


Kitabu kitauzika, ukweli je?

Karibu nyumbani Kamanda.
Mnaomshutumu ni unabaki kuwa wajibu wenu kuthibitisha
 
Ila magufuli aisee
 
Lema muongo anafurahisha genge, Cyprus asingeweza kwenda, huyo nchi yoyote ya ulaya akikanyaga wanamlamba ana kesi UK ya kubaka. alimbaka Mbutananga, jalada lake polisi wa London wanalo. Hata US angekanyaga wangemnyaka tu. Hizo za kubebwa ni stories ana mara kibao walishafanyiwa hivyo. Awadanganye watoto wa leo sio wa wale wa jana tunaowajua hawa wapinzani uchwara.
 
Kwa hiyo unaamini kuwa Mbutananga alibakwa kweli? Angebaka sisi si tupo Jumuia ya Madora kwa kesi hiyo ya jinai angeachwa hivi hivi Canada? Mambo mengine muwe mnatumia akili hata wasukuma mikokoteni wanawashinda kupembua mambo ingawa wengi wao wana simu za tochi
 
Mbona kuna madai ya Zitto kuwa kuna nchi zilijitolea kuwapa ukimbizi, wanasiasa wa Tz, Ila yeye Zitto akakataa na akina Lema ndio wakakubali huo mchongo?
 
Canada, USA, UK, Germany zinajulikana kwa sera za kujubali wakimbizi, na kuwaghamia, Cyprus, sijawahi kuisikia ikiwa mojawapo. Vivyo hivyo nchi za Afrika Mashariki, ipi utaenda na serikali ikakugharamia? Wananchi wao wenyewe hawawahudumii, kama Tz tu.
 
Mdogo wangu shetani ananieleza :-
"Ogopa kushikiria makundi haya wajinga,maskini na wapenda asali"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…