Godbless Lema atazungumza na waandishi wa habari kesho November 1 ,2026

Godbless Lema atazungumza na waandishi wa habari kesho November 1 ,2026

Safari hii wamuache aongee mpuuzi huyu msaliti kawashwawashwa sana mtu kati
 
Huyu Mmachame kuna namna anajipa umuhimu sana kwenye siasa za nchi hii.
 
Huyu Mmachame kuna namna anajipa umuhimu sana kwenye siasa za nchi hii.
TATIZO NI NINI? KUNA WAPI HAWAELEWANI?
ALL IN ALL, KAMA MSIGWA ALITOKA NA BADO CHADEMA IKASIMAMA, ACHA AONDOKE, NAYE ATARUDI KAMA MSIGWA
 
Ukichukua hela za watu watakutesa sana na wanakufanya unakua kipofu huwazi nje ya eneo lao ni hatari sana...
 
Kulinda taasisi ni wajibu, kulinda ukweli ni dhamana. Si kila anayezungumza anataka vita, na si kila anayenyamaza analinda amani.

YOHANA 8:32
“Nanyi mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.”

Karibuni Kesho Kibo Palace Hotel

Jumapili Tarehe 1 /11/202

Soma Pia: Godbless Lema kufanya mkutano na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025. Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?


Alikuwa aje kuelezea kuhusu kifo cha Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) aliyefariki Dunia leo Tar 1.11.2026.
 
Back
Top Bottom