Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa za Chama chake huko Arusha.
Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na wagombea wake kwa sababu shida zao zote, laana na uchafu wote umeletwa na chama hicho.
Soma Pia:
Salamu zimfikie Mrisho Gambo na Mamluki wenzake popote walipo
Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na wagombea wake kwa sababu shida zao zote, laana na uchafu wote umeletwa na chama hicho.
Soma Pia:
- Maandalizi ya kurudi CCM? Godbless Lema aomba kuonana na Rais Samia. Mrisho Gambo
- Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Salamu zimfikie Mrisho Gambo na Mamluki wenzake popote walipo