Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa za Chama chake huko Arusha.
Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na wagombea wake kwa sababu shida zao zote, laana na uchafu wote umeletwa na chama hicho.
Soma Pia: