Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.

Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
 
Deni ni shilingi ngapi mbona hasemi mbona hasemi kuwa Samia kamlipia na akakubaliwa kuja

USSR
 
Yule mmasai naibu waziri wa afya alifika bei kipindi hicho.
 
Ulaaniwe bashiru na uzao wako. Uchu aliokuwa nao wa madaraka, huyu aangaliwe anaweza fanya ya Idd Amin!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…