Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Akiwa kwenye kampeni leo mjini Arusha, Godbless Lema "Juzi mmeona Dar es Salaam, na hili jambo huwa nalisema kila siku yeyote anayekataa kupigania zana ya Utawala bora atakutwa na mauti ya kudharau zana ya utawala bora. Dar es Salaam ghorofa limeanguka limeua watu karibu 20, ile ni kukosekana kwa utawala bora, wale watu wameuawa na Serikali"