Man filandu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 412
- 402
Godbless Lema nimekwita mara 3 kwa herufi kubwa (X3).
Baba yako sio mjinga kukupa hilo jina na sio kama majina mengine hakuyaona.
Najua sasa hivi unamuonea huruma kaka yako Mboe lakini, ulimwambia na shingo akaishupaza. Ukanawa mikono.
Ni heri ya lawama na kutukanwa kwa kuisimamia kweli na haki ya Mungu kuliko kuwa mtumwa na kuikosa Mbingu.
God bless you (Mungu akubariki)