Godbless Lema, Godbless Lema, Godbless Lema

Man filandu

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2023
Posts
412
Reaction score
402
Godbless Lema nimekwita mara 3 kwa herufi kubwa (X3).

Baba yako sio mjinga kukupa hilo jina na sio kama majina mengine hakuyaona.

Najua sasa hivi unamuonea huruma kaka yako Mboe lakini, ulimwambia na shingo akaishupaza. Ukanawa mikono.

Ni heri ya lawama na kutukanwa kwa kuisimamia kweli na haki ya Mungu kuliko kuwa mtumwa na kuikosa Mbingu.

God bless you (Mungu akubariki)
 
Sema mh katibu mkuu wa chadema mtarajiwa ,mh Lema, we vipi
 
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu, sasa ni mbele kwa mbele by Marehemu Dr Remmy Ongala .
 
Kwa hiyo hata na lema nae ni wale wale sio ?

Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…