Godbless Lema: Hata mkiniambia tukaandamane Jumatatu ntawaongoza kuingia barabarani. Hatuwezi kuomba kibali kwa mlevi!

Godbless Lema: Hata mkiniambia tukaandamane Jumatatu ntawaongoza kuingia barabarani. Hatuwezi kuomba kibali kwa mlevi!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Akiwa kwenye kampeni siku ya leo huko mjini Arusha, Godbless Lema amesema kuwa yeye yuko tayari kuandamana muda wowote iwapo wananchi wataamka na kumwambia awaongoze.

Lema amesema kuwa wananchi waache kulaumu wanasiasa kuwa hawaandamani kwani kwa upande yuko tayari kuandamana muda wowote.

"Mnasema nyie viongozi hamchukui hatua, mimi ntachukua hatua gani kama wewe hauko nyuma yangu. Nguvu yangu iko wapi kama wewe hauna hasira. Mimi nafanyaje mwenyewe? Mimi nikijua naweza kuwaongoza Jumatatu. Kukataa upumbavu huu mimi ntakuwa mbele yangu. Nawaambia ntakaa mbele yenu Jumatatu'

=====================================================

Kwa kifupi Lema anasema, the reason hamna maadamano ni kwa sababu ya wananchi na sio wao.
 
Lema anataka ubunge hawa wananchi watapata nini?
 
Back
Top Bottom