PreGE2025 Godbless Lema: Heche yupo sawa na mwenye afya njema, kesho ataendelea na mikutano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mmebaki wawili tu, pia mnashindwa kukubali ukweli kuwa hapa tunapita tu, tuweke mazingira ya haki hapa na huko twendako, haki huliinua taifa.
 
Bado Maaskofu wanamlilia Mungu aamue na hioi nalo lipite.....Amen
 
Lema huyu ndiye yule aliyemsaliti kaka yake Mbowe na kumuunga mkono Lissu na Heche au ni mwingine?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…