Nimejaribu kutafakari kwa kina, kwa mwaka huu unavyoisha; nikagundua kuna majukumu makubwa yatanikuta huko mbeleni.
Majukumu yenyewe ni kwenye kulea, kusomesha, na kuhakikisha huo uzao wangu una maisha mazuri huko mbeleni.
Mbaya zaidi niliotengeneza nao familia, hawajui kupikia mkaa wala kuni...