The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Hii ndio maana halisi ya tonetone. Maana yake, kila mtu atoe kidogo dogo kwa kadiri ya uwezo wake.
Huwezi kuamini kuwa Kuna watu wanachangia hadi TZS 100, 200, 500, 1,000 nk.
Hakuna anayetoa milioni 10 au 20 au 50 au 100 au 500 au bilioni 1, 10 kama watakatisha pesa wa CCM na kikaragosi chao CHAUMA..

===============