Simiyu: CHADEMA yaingia Mitaani kuhamasisha Tonetone, wananchi wajazana, shughuli zavurugika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ndio Taarifa ya sasa inayosambaa kwa kasi kila mahali

Mpango huu kabambe unaongozwa na John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho

Screenshot_20260730-150645~2.png
Screenshot_20260730-150652~2.png
 
Chadema wanatakiwa waje na mpango maalum wa kumlinda Heche, tabia ya kupiga picha gari ya wanaomfuatilia na kufuatilia chasis number ya gari haina maana.

Wawe serious, waongee na hao wafuatiliaji "face to face" kuwauliza shida yao ni ipi, kama ikilazimu wakaripoti shida yao polisi Heche aitwe huko akatoe maelezo, lakini sio kumfuatilia kila siku.

Hawa wafuatiliaji wa kimya kimya tulishaona yaliyomtokea Lissu, ikawa kupiga picha gari kama hivi mwishowe...

Hawa tunawaona wakiwa kwenye gari tu lakini hatujui mpango wao kwa Heche ni upi, hawa sio viumbe wa kuwaendekeza ili tusijejuta mbele ya safari.

Hiyo gari inayomfuatilia Heche kila siku lazima ikomeshwe kufanya hivyo. Tusiendelee kulea ujinga kisha tuanze kulia baadae huku wao wakiwa wameshakimbia.
 
Chadema wanatakiwa waje na mpango maalum wa kumlinda Heche, tabia ya kupiga picha gari ya wanaomfuatilia na kufuatilia chasis number ya gari haina maana.

Wawe serious, waongee na hao wafuatiliaji "face to face" kuwauliza shida yao ni ipi, kama ikilazimu wakaripoti shida yao polisi Heche aitwe huko akatoe maelezo.

Hawa wafuatiliaji wa kinya kinya tulishaona yaliyomtokea Lissu, hawa tunawaona wakiwa kwenye gari tu lakini hatujui mpango wao kwa Heche ni upi, hawa sio viumbe wa kuwaendekeza ili tusijejuta mbele ya safari.

Wathubutu kumgusa nchi ichafuke!
 
Nadhani dawa ni kuchoma moto gari yao
 
Uko sahihi kabisa and one step further, toa ripoti polisi, toa ripoti mamlaka za nje za usalama wajue kinachoendelea juu yake with reference to Lisu's shooting!
 
Hiko Cha mwishoni kwenye heading ndio KAZI wanayoweza CHADEMA , kavuruga shughuli
 
Apewe hata walinzi 10. Nyumba iwekwe poweful cctv zenye kuonesha sura hata kutokea kwa mbali. Picha za juzi sura huwezi kuzitambua
Sasa anzia hapo ulipopagusa wewe.

Ulinzi wa Heche uwepo wa wazi na usiokuwa wa wazi.

Huo usiokuwa wa wazi uimarishwe zaidi, na ndio utakaokuwa unafanya kazi kama hiyo ulioeleza kimya kimya.
 
Hii ndio Taarifa ya sasa inayosambaa kwa kasi kila mahali

Mpango huu kabambe unaongozwa na John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho

Hivi wale wasiomtaka Heche CDM walikuwa wapi kabla ya tone tone?
Na je, wanaweza kuonesha Dunia michango yao ikiwamo jinsi ilivyoliwa?
Na vipi nguvu hizo hizo watatumiwa kudai uwajibikaji kwenye ripoti za CAG?
 
Back
Top Bottom