Simiyu: CHADEMA yaingia Mitaani kuhamasisha Tonetone, wananchi wajazana, shughuli zavurugika

Simiyu: CHADEMA yaingia Mitaani kuhamasisha Tonetone, wananchi wajazana, shughuli zavurugika

Hivi wale wasiomtaka Heche CDM walikuwa wapi kabla ya tone tone?
Na je, wanaweza kuonesha Dunia michango yao ikiwamo jinsi ilivyoliwa?
Na vipi nguvu hizo hizo watatumiwa kudai uwajibikaji kwenye ripoti za CAG?
Wamelipwa hela ndogo mno!
 
Sasa anzia hapo ulipopagusa wewe.

Ulinzi wa Heche uwepo wa wazi na usiokuwa wa wazi.

Huo usiokuwa wa wazi uimarishwe zaidi, na ndio utakaokuwa unafanya kazi kama hiyo ulioeleza kimya kimya.
Asante for your observation!
 
Sasa anzia hapo ulipopagusa wewe.

Ulinzi wa Heche uwepo wa wazi na usiokuwa wa wazi.

Huo usiokuwa wa wazi uimarishwe zaidi, na ndio utakaokuwa unafanya kazi kama hiyo ulioeleza kimya kimya.
Ulinzi wa nini tena kamanda?

Si jabali huyo au?

Heche hakuna anaemtafuta acheni porojo.
 
Back
Top Bottom