Public Sympathy: Maelfu ya Wananchi waomba kumchangia Heche baada ya mfumo kumuundia zengwe la uongo kufisadi michango ya "Tone Tone"

Public Sympathy: Maelfu ya Wananchi waomba kumchangia Heche baada ya mfumo kumuundia zengwe la uongo kufisadi michango ya "Tone Tone"

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Zengwe walilobuni mfumo la kumzushia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndg. John Heche limemnufaisha zaidi yeye na chama chake baada ya wananchi kukataa "Kununua huo uzushi".

Badala yake sasa wameomba Heche awape utaratibu wa kutuma michango yao ili wamchangie yeye kama yeye na si chama tena!
Screenshot_20260711_153932_X.jpg


Screenshot_20260711_154011_X.jpg


Screenshot_20260711_154058_X.jpg
 
Hahahahaaaaa!

Kwa wajanja Kwenye siasa Kila jambo ni fursa ya kupiga.

Kwa washamba (nyumbu) Kila jambo ni sehemu ya kuonyesha na kuthibitisha unyumbu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Zengwe walilobuni mfumo la kumzushia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndg. John Heche limemnufaisha zaidi yeye na chama chake baada ya wananchi kukataa "Kununua huo uzushi".

Badala yake sasa wameomba Heche awape utaratibu wa kutuma michango yao ili wamchangie yeye kama yeye na si chama tena!
View attachment 3627000

View attachment 3627001

View attachment 3627002

We utakuwa unakula
pamoja
na Heche 👈

Na umetumwa kuchezea Akili za Nyumbu🫎🫎

Ww Pepo chafu tokaaa ☠️☠️ kwenye mifuko ya nyumbu🫎🫎

haah uruma hamna kabisa
Au ndio aibu tuone sisi🤠
 
We utakuwa unakula
pamoja
na Heche 👈

Na umetumwa kuchezea Akili za Nyumbu🫎🫎

Ww Pepo chafu tokaaa ☠️☠️ kwenye mifuko ya nyumbu🫎🫎

haah uruma hamna kabisa
Au ndio aibu tuone sisi🤠
CCM bado tunayonafasi ya kujirekebisha na cha kwanza ni kupambana na nyie machawa ili tujibizane na akina Heche kwa hoja,

Just imagine bado kwa ulivyochwa hutaki kuona kabisa kuwa tuna kila sababu ya kujirekebisha kwa yanayotokea,
Nyie ndio mumetuharibia Chama kwa ubinafsi wenu wa kuto kushauri viongozi badala yake mnawajaza sifa ili mjinufaishe.
 
Bata mimi ikitokea ntatuma hela kiroho safi
 
Back
Top Bottom