Public Sympathy: Maelfu ya Wananchi waomba kumchangia Heche baada ya mfumo kumuundia zengwe la uongo kufisadi michango ya "Tone Tone"

Public Sympathy: Maelfu ya Wananchi waomba kumchangia Heche baada ya mfumo kumuundia zengwe la uongo kufisadi michango ya "Tone Tone"

Zengwe walilobuni mfumo la kumzushia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndg. John Heche limemnufaisha zaidi yeye na chama chake baada ya wananchi kukataa "Kununua huo uzushi".

Badala yake sasa wameomba Heche awape utaratibu wa kutuma michango yao ili wamchangie yeye kama yeye na si chama tena!
View attachment 3627000

View attachment 3627001

View attachment 3627002
wanamchangia pesa za kusafisha ufisadi aloufanya chadema au? au chadema wamemwambia arudishe pesa alizotafuna? :pedroP:
 
Back
Top Bottom