Ni wakati wa TAL.. Tumuunge mkono kwa nguvu moja na kwa sauti kubwaIngewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba ya mkutano mkuu ili chama kitoke na jina la mgombea sambamba na viongozi wakuu wa Chama.
Jambo hili ni muhimu kwa ajili ya branding ya mgombea Urais na masuala ya uratibu wa masuala ya kampeni na raslimali fedha kwa mgombea.
Pengine wazo hili likifanyiwa kazi bila Shaka tunaweza kumaliza salama zaidi na kupunguza kelele nyingi zisizokuwa na maana. Kamati Kuu inaweza kufikiri hivi.
Pengine wazo hili likifanyiwa kazi bila Shaka tunaweza kumaliza salama zaidi na kupunguza kelele nyingi zisizokuwa naIngewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba ya mkutano mkuu ili chama kitoke na jina la mgombea sambamba na viongozi wakuu wa Chama.
Jambo hili ni muhimu kwa ajili ya branding ya mgombea Urais na masuala ya uratibu wa masuala ya kampeni na raslimali fedha kwa mgombea.
Pengine wazo hili likifanyiwa kazi bila Shaka tunaweza kumaliza salama zaidi na kupunguza kelele nyingi zisizokuwa na maana. Kamati Kuu inaweza kufikiri hivi.
Pengine wazo hili likifanyiwa kazi bila Shaka tunaweza kumaliza salama zaidi na kupunguza kelele nyingi zisizokuwa na maana. Kamati Kuu inaweza kufikiri hivi.ππ¨π¨π¨π¨Ingewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba ya mkutano mkuu ili chama kitoke na jina la mgombea sambamba na viongozi wakuu wa Chama.
Jambo hili ni muhimu kwa ajili ya branding ya mgombea Urais na masuala ya uratibu wa masuala ya kampeni na raslimali fedha kwa mgombea.
Pengine wazo hili likifanyiwa kazi bila Shaka tunaweza kumaliza salama zaidi na kupunguza kelele nyingi zisizokuwa na maana. Kamati Kuu inaweza kufikiri hivi.
Lissu hawezi kuchukua mali ya Urithi kizembeMaana yake Mwenyekiti ni Mbowe, mgombea uraisi - Lissu au vice versa.
Vipi Kama wakigeukana huko mbele ya safari kabla ya October 2025?
AamenNi wakati wa TAL.. Tumuunge mkono kwa nguvu moja na kwa sauti kubwaView attachment 3188296
Kwani taratibu za kikatiba za kumpata mgombea urais kwa ticket ya CHADEMA zinasemaje?Ingewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba ya mkutano mkuu ili chama kitoke na jina la mgombea sambamba na viongozi wakuu wa Chama.
Jambo hili ni muhimu kwa ajili ya branding ya mgombea Urais na masuala ya uratibu wa masuala ya kampeni na raslimali fedha kwa mgombea.
Pengine wazo hili likifanyiwa kazi bila Shaka tunaweza kumaliza salama zaidi na kupunguza kelele nyingi zisizokuwa na maana. Kamati Kuu inaweza kufikiri hivi.
Yawezekana kuchukua nafasi zote mbili au mojawapo, hili ni wazo zuri.Maana yake Mwenyekiti ni Mbowe, mgombea uraisi - Lissu au vice versa.
Vipi Kama wakigeukana huko mbele ya safari kabla ya October 2025?
Lissu ndo anafaa sana tu.Lisu haelweki. Lisu hafai. Lisu anatakiwa kuwa chini ya mtu. Lisu ni mpayukaji. Kuna siku ataanza kusema siri zake za familia hadharani. Lisu na Msigwa lao moja.
Lema naye kachoka kisiasaIngewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba ya mkutano mkuu ili chama kitoke na jina la mgombea sambamba na viongozi wakuu wa Chama.
Jambo hili ni muhimu kwa ajili ya branding ya mgombea Urais na masuala ya uratibu wa masuala ya kampeni na raslimali fedha kwa mgombea.
Pengine wazo hili likifanyiwa kazi bila Shaka tunaweza kumaliza salama zaidi na kupunguza kelele nyingi zisizokuwa na maana. Kamati Kuu inaweza kufikiri hivi.
Hahaa mtoto wa kufikia arithi mali ππππLissu hawezi kuchukua mali ya Urithi kizembe
Ni maandalizi tu.Lema naye kachoka kisiasa
Yeye alisema no reform no election za sasa anaongelea uteuzi wa wagombea
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Kwa mfano asipopata uenyekiti je utaendelea kuunga mkono CDM?Ni wakati wa TAL.. Tumuunge mkono kwa nguvu moja na kwa sauti kubwaView attachment 3188296
Ni wakati wa TAL.. Tumuunge mkono kwa nguvu moja na kwa sauti kubwaView attachment 3188296