johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Swali rahisi sana.....sasa hao uliowataja wengine wameasi mpaka kwenye vyama vyao na msamaha wakaomba, huyo mwengine mchakatoa wake umechafuka mpaka na ushahidi upo wakitosha na bado watakimbatiwaNimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Hoja ya kipumbavuNimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Kutoka kwa Boss wako wa Ufipa st!Hoja ya kipumbavu
Hao wamewekewa vikwazo na Beberu Mkuu ndio maana hata Wanakijani wanawaogopa,Kwa uzito wa maovu Yao waliyoyapeba vichwani mwao🏋️Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani
We ni poyoyo kweli, Wambura ni watu wa Kilimanjaro?Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Naona mbege ya week end bado unayo kichwani!We ni poyoyo kweli, Wambura ni watu wa Kilimanjaro?
Mpuuzi wewe, acha umbeaNaona mbege ya week end bado unayo kichwani!
Ngoja nikuache tu
Nasubiri mbege ikutoke kwanza ndio unionyeshe niliposema Wambura ni meku!Mpuuzi wewe, acha umbea
Wewe ni mavi tuLema ni debe tupu
Amewananga wale wanaopiga makele ya DCI mpya.Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Ila wewe chungu tupu,mbovu iliyonapasuka 🚶Lema ni debe tupu
Umemaliza kuandika pumba zako?? Hujui kuwa japo waliwadhibiti wapinzani lakini wajua pia waliwaudhi vipi watesi wetu hata wakaliwa vibuti??Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Lema ni debe tupu
Nini hii?Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Jinga weweNasubiri mbege ikutoke kwanza ndio unionyeshe niliposema Wambura ni meku!