Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu hataniwi"MAMA weeeee chadema itachukua inchi hii" alisikika kada mmoja WA ccm katika mikutano ya lumumba #ni yeye ✌
Habari ndio hiyo, tumeweka na video kwa wasioamini.Sijaamini. Hivi ni kweli huo umati wote wanamsikiliza Lema?.
tena alipigwa kibwege sana !Magufuli lazima ajifokee fokee. Alipigwa hela sana na kina Polepole, yakununua watu wa kuunga juhudi, akaota mapembe. Anachokiona sasa haamimi macho yake.
MATAGA mrudishieni hela yake au ndio kilicho enda kwa mganga hakirudi.
Watu wameletwa kwa malori lakini wanataka kusikiliza muziki sio makelele yasiyo na faida ya huyo anayejiita jiwe au yesu wa chato kwa mujibu wa Lugora.Go Lema namuonea huruma yule aliejiapiza kuua upinzani nadhani anapata somo kubwa. Majuzi akiwa ccm Kirumba alisikika akiwasihi hadhira wavumilie kidogo anamalizia hotuba burudani ya muziki iendelee.
acheni usaniiUnajua tulishasema tangu awali kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo shetani aliwahi kumshinda Mungu , huyu aliyekusanya umati huu anaitwa Godbless Lema , raia aliyewekwa jela kwa miezi minne bila hata kuhukumiwa
Wanazingatia ule usemi wa wahenga...UKILA USIPIGE KELELEHivi polepole na bashiru bado wapo ofisini!!! ?? Wafukuzwe kaziii...
Mbinu zao zote zimefeli.