Godbless Lema, kikombe unachokitengeneza utakinywea

We unayesema kifo hakijawahi kuwa adhabu umesoma wapi hayo maneno? Unajua hatma ya Kora na wenzake walipomsakama Nabii Musa kwenye Biblia? Mwenyezi Mungu aliwapa adhabu gani? Kawadanganye wasiosoma Biblia.
Kuna kiumbe asiye kufa?
Kama wote tutakufa, Ina maana wote tumeadhibiwa?
Kama ndivyo, nini faida ya kuwa mhongofu?
 
Vifo vinatofautiana mkuu mtu anayefariki kwa kutekwa na kutobolewa macho ni tofauti na mtu ambaye amefariki kawaida wakati kina nape wanafurahia kifo cha magufuli ilionekana kawaida sasa hivi ni ubaya ubwela.
 
Wala lema ajawai sema kwamba fulani anakufa .yeye huwaga anatoa mistari ya bible kama wew ndio utakuwa umeelewa vibaya au kama vip leta tweet tuone hapo
 
Watawala na Ccm kwa ujumla kitu ambacho wamefanikiwa kuwajengea CDM kutoka kwa wananchi ni "huruma"
Sahivi kiongozi yeyote wa CDM akiongea jamii inakuwa attention kumskiliza si kwasababu anaongea mazuri sana ni kwasababu ya mizengwe waliyofanyiwa na watawala
Kwahy matokeo ya kifo Cha kiongozi wa CDM inawezekana yakawafanya watu waomboleze zaidi kuliko atakavyofariki kiongozi mwingne nje ya CDM
 
Vifo vinatofautiana mkuu mtu anayefariki kwa kutekwa na kutobolewa macho ni tofauti na mtu ambaye amefariki kawaida wakati kina nape wanafurahia kifo cha magufuli ilionekana kawaida sasa hivi ni ubaya ubwela.
Laana inawatafuna mpaka leo,
 
Bado deaf frog.
 
Lema hata akifa hakuna tatizo, maana hajifanyi mungu mtu kama dhalimu magufuli na shetani ndugai.
 
Siku za hivi karibuni
Sasa kama hayo yote unayajua huu uzi umeuanzisha wa nini ?
 
Ko watu tusishangilie msiba kisa kuogopa kufa?
Tukifa nanyi shangilieni, shida iko wapi?
 
Yule jamaa ana shida kubwa , anajiona yeye ni msafi hana doa , anajifanya ana mawasiliano na Mungu eti kila analosema linatimia , hovyo sana yule jamaa
 
Watu kuwa hawajui formula ya kimuungu .lile uwandeao wenzako liwe jema au baya na hata wewe utalipwa hivyo hivyo.Kwa hiyo na kifo Cha Lema lazima watu watashangilia
 
Acha kumtisha,yeye hatishi yeyote bali huwa anawakumbusha wanapo kengeuka tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…