Godbless Lema, kikombe unachokitengeneza utakinywea

Unabii kutoka kwa Mungu haujawahi kuwa dhambi
 
Kuna kiumbe asiye kufa?
Kama wote tutakufa, Ina maana wote tumeadhibiwa?
Kama ndivyo, nini faida ya kuwa mhongofu?
Kufa ni sehemu ya adhabu. Biblia inasema "mshahara wa dhambi ni mauti" halafu tena "wametenda dhambi, wote wamepungukiwa na utukufu".

Ukiachana na maandiko matakatifu, tuje kwenye hili:

Kama kifo hakiwezi kuwa adhabu, kwanini kuna adhabu/hukumu ya kifo kwenye mahakama zetu?
 
Huyo anayekuhukumu mwisho wake huwa nini?
 
Tutolee ungese broo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…